Jenifa(filamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jenifa
Muziki na Fatai Izebe
Nchi Nigeria
Lugha Yoruba

Jenifa ni filamu ya vichekesho ya Nigeria ya mwaka 2008 iliyochezwa na mwigizaji Funke Akindele. Mwaka 2008 filamu hii iliteuliwa katika tuzo za Africa Movie Academy Awards. Akindele alishinda tuzo za Africa Movie Academy Award for Best Actress in a Leading Role kama muigizaji wa kike.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ajayi, Segun. "Nollywood in limbo as Kenya, South Africa rule AMAA Awards", Daily Sun, 11 April 2009. Retrieved on 8 March 2011. Archived from the original on 2 January 2010. 
  2. Okon-Ekong, Nseobong. "Funke (jenifa) Akindele - How to Lose Your Name to a Character", AllAfrica.com, AllAfrica Global Media, 10 July 2010. Retrieved on 8 March 2011. 
  3. "AMAA Nominees and Winners 2009". Lagos, Nigeria: Africa Movie Academy Awards. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 April 2011. Iliwekwa mnamo 8 March 2011.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jenifa(filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.