Jemimah Sanyu
| Jemimah Sanyu | |
|---|---|
| Amezaliwa | Jemimah Sanyu 25 Machi 1986 Uganda |
| Jina lingine | Stage Gladiator |
| Kazi yake | mwanamziki |
Jemimah Sanyu (anajulikana pia kama Stage Gladiator) ni mwanamuziki, mwigizaji, mtayarishaji filamu, na mkufunzi wa Uganda.[1]
Sanyu amekutana na watu kama Rais Yoweri Museveni wakati akiimba katika albamu yake ya I am a Ugandan. Ameshiriki jukwaa na nyota maarufu wa Kiafrika kama Habib Koite, Navio (rapa), Joanita Kawalya wa Afrigo Band, na Juliana Kanyomozi.[2] na wengine wengi.[3]
Maisha ya Muziki
[hariri | hariri chanzo]Sanyu ambaye ni mteule wa Tuzo za Diva mara mbili, alianza kufanya muziki kitaaluma mwaka wa 2007 alipojiunga na Grayce Records. Sanyu alipata kuimarika kama nyota wa muziki wa miondoko ya Afro pop na muziki wa dansi hasa kwa sababu ya uigizaji wake mkali na sauti yake.[4] Alifanikiwa kuandaa usiku wa muziki unaoitwa Sanyu Talks katika Jazzville Bugolobi kila Alhamisi akiandamana na bendi yake ya UNIT 446.[5]
Viungo Vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- "Doadoa spreads wings to Jinja"
- All-female line-up for Uganda’s Qwela Junction November concert
- Visa For Music, une plateforme inédite pour booster la création musicale de l’Afrique et du Moyen-Orient Ilihifadhiwa 4 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- Interview: Uganda's Jemimah Sanyu ready to take on the world
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "JEMIMA SANYU, AN ADORABLE THIEF". Wordpress. Confessions256. Iliwekwa mnamo 22 Septemba 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Friends of Peter Nawe in Webale Video". Hipipo. Hipipo. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 15 Julai 2013.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Jemimah Sanyu (Uganda)". Selam. Selam Ethiopia.
- ↑ "Uganda's top Female voices". New Vision. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2013.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Sanyu Talks At Jazz Ville". Proggie Ug. Iliwekwa mnamo 29 Julai 2013.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jemimah Sanyu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
