Jebiniana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jebiniana (pia huitwa Djebeliana) ni mji katika wilaya ya Sfax huko Tunisia.[1][2]

Mji huu upo kilomita 35 kaskazini kwa Sfax kwenye fukwe za Bahari ya Mediteranea karibu na El Amra.[3][4]

Mji huo hupatikana katika latitudo: 35.033333Kas, Longitudo: 10.916667Mas.[5]

Mwaka 2014, palikuwa na idadi ya wakazi 7,190.[6]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Tunisia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jebiniana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.