Nenda kwa yaliyomo

Sfax

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sfax ni mji mkuu wa wilaya ya Sfax huko Tunisia.

Mwaka 2014 ulikuwa na idadi ya wakazi takribani 330,440[1]. Hivyo ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Tunisia, na upo kilomita 270 kutoka mji mkuu Tunisi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sfax kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.