Jean García

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Jjjeangarcia.jpg
Jean Garcia.

Jean García (jina halisi: Jessica Anne Rodriguez Maitim; amezaliwa Angelese City, Philippines, 22 Agosti 1969) ni muigizaji wa tamthilia na filamu kutoka nchini Philippines, aliyeibukia mjini Angeles City, Pampanga.

Ameonekana katika tamthilia kadhaa, na ameanza shughuli za uigizaji toka akiwa ana umri wa miaka 17.

Filamu na tamthilia alizoigiza[hariri | hariri chanzo]

 • Twin Krystals on GMA-7 (2008) Kama Reyna Celebes/Celebria
 • Impostora Akiwa GMA 7 (2007) Kama Betty
 • StarStruck Akiwa GMA (2007)
 • "Ang Parusa ng Duwende" (Lola Basyang's Series) (2007)
 • Happy Hearts (2006) Kama Sarah
 • Kasagutan, Ang (2006) (TV) Anita Anita
 • Atlantika (2006) Kama Reyna Celebes/Celeste
 • Pangako sa 'Yo (2006) -Kama Madame Claudia Buenavista
 • Majika (2006) Kama Eloida/Luring
 • Extra! Extra! .... Contestant (1 Kipande, 2006)
 • I Will Always Love You (2006) .... Adelle Ledesma
 • All About Love (2006) Kama Kikay's Mom
 • Say that You Love Me (2005) Kama Mabel
 • Makuha ka sa Tikim (2005-06)
 • Extra Challenge: Kasabwat (2005)
 • Kampanerang Kuba (2005) TV Kama Lucia Saavedra
 • Birhen ng Manaoag (2005)
 • Mano Po III: My Love (2004) Kama Freida
 • Volta (2004) Kama Kelly/Celphora
 • Anak Ka ng Tatay Mo (2004)
 • It Might Be You (2003) TV Series Kama Orlanda Mae Lacuesta
 • Noon at Ngayon... Pagsasamang Kayganda (2003) Kama Kathy
 • Kay Tagal Kang Hinintay (2002) TV Kama Lady Morganna Frost Arcangel
 • Pangako sa 'Yo (2000) TV Kama Madame Claudia Buenavista
 • Nakaw na Sandali (1997)
 • Sana naman (1996) Kama Lerma
 • Anak, Pagsubok Lamang (1996)
 • A.E.I.O.U. 1996)
 • Batas Ko ang Katapat Mo (1995) Kama Jenny
 • Familia Zaragoza (1995) TV
 • Sarah, ang Munting Prinsesa (1995) Kama Miss Minchin
 • Trudis Liit (1996) Kama Clara
 • L.T Lito Madarang (1993)
 • Lucio Margallo (1992) Kama Hermie Margallo
 • Disgrasyada (1991) Kama Agnes
 • Ms.Dorax,IPGT (1990)
 • Anak ni Kanto Boy (1992) Kama Aleja
 • Baril Ko Ang Uusig (1990) Kama Nadia
 • Huwag Kang Hahalik sa Diablo (1989)
 • Sgt. Melgar (1989) Kama Beth
 • Impaktita (1989)
 • Here Comes the Bride (1989)
 • Kahit Demonyo Itutumba Ko
 • Paranaque Bank Robbery:The Joselito Joseco Story(1993) as Milagros
 • Here Comes the Bride (1989)
 • Lost Command (1988)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean García kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.