Jaya Devkota
Mandhari
Jaya Devkota, anajulikana kama Jay Devkota, (alizaliwa 8 Machi 1992) ni mwimbaji wa nchini Nepal. Devkota alianza kazi yake mwaka 2006 na albamu ya Jeevan Bhayo Urath Bagara. Devkota ameachia zaidi ya albamu 23 na zaidi ya nyimbo 400. Wimbo wake wa 2018 "Barkha Lagechha" uliteuliwa kama kiburudisho kwenye utoaji wa tuzo za muziki za sadhana.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Life as a folk singer". kathmandupost.com.
- ↑ "souryaonline". souryaonline.
- ↑ "sadhana". safalkabar.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jaya Devkota kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |