Jasmine Bull

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bull akichezea Bristol City mnamo 2023

Jasmine Bull (alizaliwa 11 Oktoba 2002)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya Bristol City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake na timu ya taifa Uskoti ya walio na umri chini ya miaka 23.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Jasmine Bull Bristol City FC". Bristol City FC (kwa en-ZA). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. "Keynsham Town | The FA Women's National League". fulltime.thefa.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  3. "Cheltenham Town | The FA Women's National League". fulltime.thefa.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jasmine Bull kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.