Nenda kwa yaliyomo

Jarajara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jarajara ni kata ya kaunti ya Garissa, eneo bunge la Balambala, mashariki mwa Kenya[1].