Janina Minge
Mandhari

Janina Madeleine Minge (alizaliwa 11 Juni 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Ujerumani. Janina anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya SC Freiburg kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga na timu ya taifa ya Ujerumani U20.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Janine Minge und Giulia Gwinn erstellen Strafenkatalog" (kwa German). Schwäbische Zeitung. 15 Novemba 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-02-18. Iliwekwa mnamo 3 Oktoba 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Janina Minge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |