Janina Leitzig
Mandhari
Janina Leitzig (alizaliwa 16 Aprili 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani ambae anacheza kama golikipa wa klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Germany - J. Leitzig - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". uk.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-27.
- ↑ Hannah Pinnock (2023-01-13). "Leicester City Women confirm loan signing of goalkeeper Janina Leitzig". Leicestershire Live (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Janina Leitzig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |