Janet Kirina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Janet Kirina Nariki (amezaliwa eneo la Kajiado, 25 Aprili 1986[1]) ni mwigizaji, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji na mwenyeji katika vipindi vya runinga wa Kenya. Kirina anafahamika kwa majukumu yake katika Makutano Junction.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Uigizaji[hariri | hariri chanzo]

Kirina ametokea katika utayarishaji wa filamu na vipindi mbali mbali vya runinga nchini Kenya. Ametokea katika mchezo wa kuelimisha wa Ssoap opera, Makutano Junction. Ameigiza kama msichana mdogo mwenye kifafa na mwenye kutokujiamini na mpenziwe Tony anaendesha biashara ya mgahawa kutoka katika familia ya Mabuki.Ameigiza pamoja na, Charles Ouda, Wanja Mworia, Emily Wanja na Maqbul Mohammed. As from 2010, she hosted a Kid-show, Know Zone, where she co-hosted with Charles Ouda, having been colleagues in Makutano Junction[2]

Muziki[hariri | hariri chanzo]

Kirina aliingia kwenye muziki mnamo tarehe 22 Februari 2013 ambapo alitoa nyimbo yake ya kwanza, "Night Out".[3] Mnamo August 2013, aliachilia nyimbo yake ya pili, "Kata Kata",[4] "Niingize Box".[5] Mpaka 2015, hakuwa ameweka wazi kuhusu mipango yake ya albamu.s

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Filamu na Runinga[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Jina Jukumu maelezo
2008 Benta Benta Filamu
All Girls Together Josie Filamu
2008–2014 Makutano Junction Florence Series regular
Season 6
2009 Block-D Rita Series regular
Season 1
2010 Higher Learning Series regular
Season 1 – 4
Know Zone mtangazaji

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Nyimbo Mtayarishaji Albamu Ref(s)
2013 "Night Out"  — TBA [2]
"Niingize box"  — [2]

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Tuzo za Kalasha, Tuzo za Kisima[hariri | hariri chanzo]

mwaka Tuzo Jamii Mpokeaji/Project Result
2009 Tuzo za Kalasha Muigizaji bora wa kike Benta Ameshinda[6]
2012 Mwigizaji bora wa kike katika michezo ya kuigiza runingani Higher Learning Kigezo:Aliteuliwa
Tuzo za Muziki Kisima Kisima muimbaji mpya Janet Kirina Kigezo:Aliteuliwa[7]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. You must specify title = and url = when using {{cite web}}.. Iliwekwa mnamo 29 March 2018.
  2. 2.0 2.1 2.2 Hot: Janet Kirina. Iliwekwa mnamo 28 December 2015.
  3. Wangwau, Adam (22 February 2013). Actress to Release New Single Today. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-01-27. Iliwekwa mnamo 28 December 2015.
  4. Watiri, Sue (13 August 2013). Actress Janet Kirina Now Pursuing Music.. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-01-27. Iliwekwa mnamo 28 December 2015.
  5. Wagwua, Adam (14 January 2015). PHOTOS: Actress/Singer Unveils Sexy New Look. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-01-27. Iliwekwa mnamo 28 December 2015.
  6. 2009 winners. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-07-17. Iliwekwa mnamo 5 January 2016.
  7. Wangwau, Adam (3 November 2014). Full Winners' List: Kisima Awards 2012. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-12-08. Iliwekwa mnamo 5 January 2015.
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Janet Kirina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.