Jane Alpert

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jane Lauren Alpert alizaliwa mnamo Mei 20, 1947 ni Mmarekani mwenye itikadi kali ambaye alikula njama katika ulipuaji wa majengo nane ya ofisi za serikali na biashara katika Jiji la New York mnamo mwaka 1969.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Treaster, Joseph B. "Court Building Bombed; F.B.I. Seizes 2 at Armory; Blast Rocks Court Building; 2 Seized at Armory", The New York Times, 1969-11-13. "A bomb extensively damaged a part of the fifth floor of the New York City Criminal Courts Building last night in the fourth explosion in a Manhattan public building in two days." 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jane Alpert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.