Janakavi Keshhari Dharmaraj Thapa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Janakavi Keshhari Dharmaraj Thapa

Janakavi Keshhari Dharmaraj Thapa (1924 - 14 Oktoba 2014) alikuwa mmoja wa waimbaji muhimu sana wa nchini Nepal. Anafahamika sana kwa nyimbo zake kama "Hariyo Danda Maathi", "Nepali le Maya Maaryo Barilai ".

Dharmaraj Thapa alianza kuimba nyimbo za asili, nyimbo za kitamaduni, kucheza dansi tangu akiwa mdogo.

Alimuoa Shavitri mwenye umri wa miaka 13 yeye akiwa na umri wa miaka 15.[1][2][3]

Albamu zake[hariri | hariri chanzo]

  • Hariyo Danda Maathi (हरियो डाँडा माथि)
  • Nepali Le Maya Maaryo Barilai (नेपालीले माया मार्यो वरिलै)
  • Suna Mero Nirmaya (सुन मेरो निरमाया)
  • Saahili Rimai (साँहिली रिमै चौरी गाई, झर्यो रिमै मधु बनैमा)
  • Aaja Malai Sancho Chaina (आज मलाई सञ्चो छैन)
  • Aaipugyau Relaima (आईपुग्यौ रेलैमा, नौबजे बेलैमा .. देहरादुनैमा साथी देहरादुनैमा)

Vitabu vyake[hariri | hariri chanzo]

  • Lamichane Thapa ko Vamshavali ("Genealogy of the Lamichhane Thapa")[4]
  • Nala Damayanti [5]
  • Loka Sanskriti ko Ghera ma Kam jung [6]
  • Mukti natha Darshana [7]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Janakavi Keshari Dharma Raj Thapa dies", 14 October 2014. Retrieved on 20 January 2015. Archived from the original on 2015-01-20. 
  2. "Dharmaraj Shavitri Guthi, Official Website". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-15.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  3. Lifetime members of Nepal Academy Archived 2013-09-21 at the Wayback Machine
  4. Thāpā, Dharmarāja (1982). "Lāmichāne Thāpāko vaṃśāvalī". 
  5. Thāpā, Dharmarāja (1991). "Nala Damayantī: Gītikāvya". 
  6. Thāpā, Dharmarāja (1984). "Loka-saṃskr̥tiko gherāmā Lāmajuṅ: Gaveshaṇāpūrṇa loka-saṃskr̥tiko bhramaṇa-sāhitya". 
  7. Thāpā, Dharmarāja (1990). "Muktinātha darśana". 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Janakavi Keshhari Dharmaraj Thapa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.