Jana Amin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jana Amin ni mwanaharakati wa nchini Marekani mwenye asili ya Misri anayejulikana kwa kutetea utoaji elimu kwa wasichana na uwezeshaji wa wanawake.[1]

Alianza kazi yake ya kuwa mwanaharakati kwa kusimulia ukweli wa wanawake wa Kiislamu.[2]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Jana alihamia nchini Marekani akiwa na umri mdogo. Mama yake Rana el Kaliouby ni mwanasayansi mashuhuri wa kompyuta na mjasiriamali.[3][4] Jana ana mdogo wake wa kiume.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jana Amin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.