Nenda kwa yaliyomo

Jana Adamková

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jana Adámková (alizaliwa 27 Januari 1978) ni mwamuzi wa mpira wa miguu kutoka Jamhuri ya Ucheki.

Katika mfumo wa ligi za ndani nchini Ucheki, Adámková amechezesha katika Ligi ya daraja la kwanza nchini. [1]

Katika ngazi ya shirikisho amechezesha Ligi ya Mabingwa ya Wanawake UEFA, Euro ya Wanawake UEFA . [2]

Adámková aliteuliwa kuwa mwamuzi rasmi katika Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake 2019 nchini Ufaransa. [3] [4]

  1. "Jana Adámková - Matches as referee". worldfootball.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 1 Julai 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Jana Adámková - Matches as referee". worldfootball.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 1 Julai 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. FIFA.com. "FIFA Frauen-WM 2019™ - Nachrichten - Aufgebot der Spieloffiziellen für die FIFA Frauen-WM 2019™ - FIFA.com". www.fifa.com (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 1 Julai 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. FIFA.com
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jana Adamková kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.