Jan Tyranowski
Mandhari
Jan Leopold Tyranowski (9 Februari 1901 – 15 Machi 1947) alikuwa Mkatoliki kutoka Poland. Alikuwa mfuasi mwenye bidii wa karama ya Wakarmeli Peku – ingawa hakuwa mwanachama wa shirika hilo – na alikuwa mtu muhimu katika malezi ya kiroho ya Karol Józef Wojtyła, ambaye baadaye alikuja kuwa Papa Yohane Paulo II.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Venerable Jan Leopold Tyranowsi". Saints SQPN. 26 Januari 2017. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |