James Stafford
Mandhari

James Francis Stafford (alizaliwa 26 Julai 1932) ni Kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani. Alihudumu kama msimamizi mkuu wa Idara ya Upatanisho wa Kitume kutoka mwaka 2003 hadi 2009.[1]
Kabla ya kushika wadhifa huo, Stafford aliwahi kuhudumu kama raisi wa Baraza la Kipapa la Walei (1996–2003), askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Denver (1986–1996), askofu wa Jimbo la Memphis (1982–1986), na askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Baltimore (1976–1982). [2]Alipewa hadhi ya kadinali na Papa John Paul II mwaka 1998.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Stafford card. James Francis". Holy See. Iliwekwa mnamo Oktoba 31, 2023.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "James Francis Cardinal Stafford". Catholic-Hierarchy.org. David M. Cheney. Iliwekwa mnamo 21 Januari 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Miranda, Salvador. "STAFFORD, James Francis (1932– )". The Cardinals of the Holy Roman Church. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 4, 2014. Iliwekwa mnamo Agosti 2, 2011.
{{cite news}}: More than one of|accessdate=na|access-date=specified (help); More than one of|archivedate=na|archive-date=specified (help); More than one of|archiveurl=na|archive-url=specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |