Nenda kwa yaliyomo

James McNaught

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

James Rankin McNaught (8 Juni 1870 - Machi 1919) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

McNaught alianza kucheza mpira wa miguu na klabu ya mtaani kwao ijulikanayo kama Dumbarton F.C..[1] Mnamo Februari mwaka 1893 alijiunga na klabu ya Newton Heath.[2] ,[3] ambapo aliumia kiwiko katika mchezo wa tatu dhidi ya Ardwick.[2] Baada ya kufunga mabao 12 kwenye michezo 162 akiwa na timu ya Newton Heath, Mei mwaka 1898 alihamia timu ya Tottenham Hotspur.[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Emms, Steve; Wells, Richard (2007). Scottish League Players' Records Division One 1890/91 to 1938/39. Beeston, Nottingham: Tony Brown. ISBN 978-1-899468-66-9.
  2. 2.0 2.1 2.2 Dykes (1994), pp. 250–1.
  3. Shury & Landamore (2005), p. 54.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James McNaught kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.