James Francis Mbatia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

James Francis Mbatia (amezaliwa 10 Juni 1964) ni mwanasiasa wa chama cha NCCR–Mageuzi nchini Tanzania na ni mbunge wa kuteuliwa tangu 2012 halafu amechaguliwa kuwa mbunge wa Vunjo kwa mwaka 20152020.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]