James Daud Lembeli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

James Daud Lembeli (amezaliwa 26 Desemba, 1956) alikuwa mbunge wa jimbo la Kahama katika bunge la kitaifa nchini Tanzania hadi mwaka 2015.[1]

Alitokea katika chama cha CCM akajiunga na CHADEMA.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu James Daud Lembeli (25 Aprili 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]