Nenda kwa yaliyomo

James Badge Dale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
James Badge Dale

Amezaliwa James Badgett Dale
1 Mei 1978 (1978-05-01) (umri 46)
Beverly Hills, California, Marekani
Miaka ya kazi 1990-hadi leo

James Badge Dale (amezaliwa tar. 1 Mei, 1978) ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Chase Edmunds kutoka katika mfululizo wa TV wa 24 kunako msimu wa 3 wa mfululizo huo.

Filmografia

[hariri | hariri chanzo]

Televisheni

[hariri | hariri chanzo]
  • Law and Order: Special Victims Unit (2002) as Danny Jordan
  • Hack (2003) as Billy Ryan
  • 24 (2003-2004) kama Chase Edmunds
  • Rescue Me (2003) kama Timo Gavin
  • CSI: Crime Scene Investigation (2005) kama Adam Trent
  • CSI: Miami (2005) kama Henry Darius
  • CSI: NY (2005) kama Henry Darius
  • The Black Donnellys (2007) kama Samson Dawlish
  • Fort Pit (2007) (TV) kama Bobby Bonelli
  • The Pacific (2009) (mini) kama Robert Leckie

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Badge Dale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.