Jail (filamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jail ni filamu ya mwaka 2018 ya kutoka Nigeria iliyotayarishwa na kuongozwa na Morris K. Sesay[1].

Ploti[hariri | hariri chanzo]

Filamu inaelezea kuhusu mwanamume mmoja anayefungwa jela kwa makosa ambayo hakuyafanya, huku marafiki zake ambao ndio waliohusika na kosa hilo wakimkimbia [2][3].

Wahusika[hariri | hariri chanzo]

Bimbo Akintola Salami Rotimi Chelsea Eze Ronke Odusanya Allwell Ademola Ngozi Nwosu Morris Sesay

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. nollywoodreinvented (2017-12-21). Jail (en-US).
  2. Jail (TBD) - nlist | Nollywood, Nigerian Movies & Casting (en-GB).
  3. JAIL - Latest 2017 Nigerian Nollywood Drama Movie (20 min preview) (in English), retrieved 2019-11-15 
Video-x-generic.svg Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jail (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.