Jacques Hamel
Mandhari
Jacques Hamel (30 Novemba 1930 – 26 Julai 2016) alikuwa kasisi Mkatoliki kutoka Ufaransa aliyefanya kazi katika parokia ya Saint-Étienne-du-Rouvray.
Mnamo 26 Julai 2016, Hamel aliuawa wakati wa shambulio la kanisa la Normandy, ambapo wanaume wawili Waislamu waliokuwa wamekula kiapo kwa Dola la Kiislamu la Iraq na Levant walitekeleza shambulio hilo wakati Hamel akiadhimisha misa katika kanisa lake.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ordo Militaris Inc.: About". Ordo Militaris Inc. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Julai 2022. Iliwekwa mnamo Julai 16, 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |