Nenda kwa yaliyomo

Jacob Krop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jacob Krop

Jacob Krop (alizaliwa 4 Juni 2001)[1] ni mkimbiaji wa mbio ndefu nchini Kenya. Alishinda medali ya fedha katika mita 5000 kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia mwaka 2022 na shaba kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia mwaka 2023 na Michezo ya Jumuiya ya Madola mwaka 2022.

Akiwa na umri wa miaka 17, Krop alikuwa mshindi wa medali ya fedha ya mita 5000 kwenye Mashindano mwaka 2019 ya Afrika ya Vijana chini ya miaka 20.

  1. "Jacob KROP – Athlete Profile".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacob Krop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.