JaVale McGee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
JaVale McGee akiwa anachezea timu ya kikapu ya Washington Wizards mwaka 2009

JaVale Lindy McGee (alizaliwa 19 Januari 1988) ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea Marekani anayeichezea timu ya Los Angeles Lakers katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu (NBA).

Alichaguliwa kama chaguo la 18 na timu ya Washington Wizards mnamo mwaka 2008 katika uchaguzi wa wachezaji katika Chama cha taufa cha mpira wa kikapu(NBA). JaVale alifanikiwa kushinda mara mbili na timu ya Golden State Warriors tuzo ya timu bora ya Chama cha taifa cha mpira wa kikapu(NBA) mwaka 2017 na 2018. Mwaka 2019, JaVale alijiunga na timu ya Los Angeles Lakers

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu JaVale McGee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.