Washington Wizards

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Washington Wizards

Washington Wizards ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Washington, DC. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na John Wall, Bradley Beal.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Washington Wizards kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.