Iwalewa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Iwalewa ni filamu ya mwaka 2006 ya nchini Nigeria iliyotayarishwa na Khabirat Kafidipe na dada yake Aishat Kafidipe, na kuongozwa na Tunde Olaoye. Walioang'arisha filamu hiyo ni Remi Abiola na Femi Branch.[1][2]

Ploti kwa Ufupi[hariri | hariri chanzo]

Filamu inaelezea maisha ya msichana mdogo Iwalewa, anayepoteza wazazi wake wawili katika umri mdogo na kupata tabu na maisha magumu kama mtoto yatima.[3]

Wahusika[hariri | hariri chanzo]

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Filamu iliteuliwa kushindania tuzo mata tatu, lakini ilijishindia tuzo mara mbili 3rd Africa Movie Academy Awards mnamo tarehe 10 march 2007 tuzo zilofanyika katika Gloryland Cultural Center katika jiji la Yenagoa, Bayelsa State,Nigeria.[4] Khbirat Kafidipe's lead role in the film earned her the Africa Movie Academy Awards of Best Actress in a Leading Role.[5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "'I've never been in love nor had a crush on any one'". The Nation Newspaper. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-04-11. Iliwekwa mnamo 5 April 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. SEGUN ADEBAYO. "I have a ministry, but Im not a pastor -Femi Branch - nigeriafilms.com". nigeriafilms.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-04-18. Iliwekwa mnamo 2015-04-05.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  3. "Ìwàlẹwà : intuition and desperation.". worldcat.org. 
  4. Coker, Onikepo. "Africa Celebrates Film Industry at AMAA 2007", Mshale Newspaper, Minneapolis, USA: Mshale Communications, 4 May 2007. Retrieved on 5 April 2015. Archived from the original on 3 March 2012. 
  5. "AMAA Awards and Nominees 2007". African Movie Academy Award. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 October 2010. Iliwekwa mnamo 5 April 2015.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Iwalewa kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.