Ivar Giæver

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ivar Giæver

Ivar Giæver (amezaliwa 5 Aprili 1929) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Norwei. Baadaye alihamia na kufanya kazi nchini Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya upitishaji umeme. Mwaka wa 1973, pamoja na Leo Esaki na Brian Josephson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ivar Giæver kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.