Leo Esaki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfalme Leo Esaki

Leo Esaki (amezaliwa 12 Machi 1925) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Reiona Esaki. Hasa alifanya utafiti upande wa ufundi mitambo wa kwanta. Mwaka wa 1973, pamoja na Ivar Giaever na Brian Josephson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leo Esaki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.