Isaac L. Auerbach
Mandhari
Isaac L. Auerbach (Oktoba 9, 1921- Disemba 24, 1992)[1] alikuwa miongoni wa waanzilishi na watetezi wa teknolojia za kompyuta anayeshikilia hataza 15. Alikuwa rais mwanzilishi wa Shirikisho la Kimataifa la Uchakataji wa Habari (IFIP) kuanzia mwaka 1960 hadi 1965[2][3], mwanachama wa National Academy of Sciences, mkurugenzi kwenye shirika la Burroughs na mvumbuzi wa kompyuta za awali za Sperry Univac. IFIP lilianzisha tuzo kwa jina lake.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Marquis Who's Who (1996). Who was who in America : with world notables. Internet Archive. Reed Elsevier. ISBN 978-0-8379-0225-8.
- ↑ "IT History Society". web.archive.org. 2012-04-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-03. Iliwekwa mnamo 2022-07-28.
- ↑ "The Day of the President". www.ifip.org. Iliwekwa mnamo 2022-07-28.