Iris Burnham

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Iris B. Burnham ni mwalimu wa nchini Marekani. Burnham alileta shule ya kukodisha huko El Paso, Texas. Kwa kuongeza, alianzisha shirika la National Organization for Women (NOW) na alikuwa mwanzilishi mwenza wa Domestic violence shelter kwa ajili ya wanawake huko El Paso.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Burnham alienda El Paso mapema miaka ya 1970.[1] Mnamo mwaka 1977, alikua mhadhiri katika idara ya kiingereza ya Chuo Kikuu cha Texas huko El Paso (UTEP).[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "El Pasoans in the News", El Paso Times, 30 October 1975. 
  2. "Faculty Adds New Members", El Paso Herald-Post, 29 September 1977. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Iris Burnham kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.