Nenda kwa yaliyomo

Chuo Kikuu cha Texas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chuo Kikuu cha Texas ni chuo kikuu cha umma huko Austin, Texas. Kilianzishwa mwaka 1883.

Ni moja ya vyuo vikuu vingi zaidi nchini Marekani. Kina wanafunzi karibu 50,000.