Intan Aletrino
Mandhari
Intan Aletrino (alizaliwa 30 Juni 1993) ni muigizaji, mtangazaji wa televisheni, mwanamitindo na mshindi wa taji la mashindano ya urembo kutoka Indonesia. Yeye pia ni balozi wa Bodi ya Kitaifa ya Dawa za Kulevya ya Jamhuri ya Indonesia.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Intan Aletrino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |