Ingizo la shajara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ingizo la shajara la John Murray.

Katika biashara, ingizo la shajara (kwa Kiingereza: journal entry) ni tendo la kuzishika au kuzirekodi shughuli za kibiashara za kiuchumi au zile zisizo za kiuchumi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)