In America: The Story of the Soul Sisters

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

In America: The Story of the Soul Sisters ni filamu ya Nigeria ya mwaka 2010 iliyoongozwa na Rahman Oladigbolu . Nyota wake ni Jimmy Jean-Louis na Roger Dillingham Jr.[1][2]

Ni filamu iliyoshinda tuzo ya Best Film by an African Living Abroad katika tuzo za 7th Africa Movie Academy Awards mwaka 2010 katika tamasha la Roxbury International Film Festival mjini Boston, Massachusetts.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu In America: The Story of the Soul Sisters kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.