Imani na sheria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Imani ni kukubaliana na kitu fulani hata kama si cha kuonekana. Kila mtu ana imani yake inayomuongoza katika maisha.

Sheria ni kanuni zinazotungwa na jopo fulani la watu. Katika maisha sheria husaidia sana, hasa katika kuhakikisha kuwa usalama na amani zinakuwepo.

Hapo zamani katika historia ya Kanisa sheria ilitumika hasa katika kuwaleta waliopotea katika ulimwengu wa roho.

Lakini imani imekuwa mbele zaidi ya sheria (Gal 3:10).

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.