Ike Nwala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ike Nwala
Amezaliwa 5 Juni 1986 (1986-06-05) (umri 35)
Brooklyn, New York,
Miaka ya kazi 2011 - hadi leo

Ike Nwala (アイクぬわら, amezaliwa Brooklyn, New York City, 3 Juni 1986) ni mchekeshaji na mwimbaji kutoka Marekani.

Maisha yake[hariri | hariri chanzo]

Wakati Ike aliongozwa na programu ya televisheni ya Kijapani, aliamua kuwa mchekeshaji na kwenda Japani[1].

Hivi sasa anafanya kazi kama mshiriki wa kikundi kinachoitwa Choshinjuku[2].

Filmografia[hariri | hariri chanzo]

  • Yo-kai Watch: Soratobu Kujira to Double no Sekai no Daibōken da Nyan!
  • Yo-kai Watch Shadowside: Oni-ō no Fukkatsu (2017)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ike Nwala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.