Ida Joe Brooks

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ida Joe Brooks

Ida Josephine "Joe" Brooks ( 28 Aprili 185313 Machi 1939 ) alikuwa mwalimu, daktari wa mpasuaji. Alikuwa miongoni mwa madaktari wanawake wa mwanzo wa Arkansas na mshiriki wa kitivo cha kwanza cha kike katika shule ya matibabu katika Chuo kikuu cha Arkansas. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ida Josephine Brooks (1853–1939)". Iliwekwa mnamo 29 Agosti 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ida Joe Brooks kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.