Nenda kwa yaliyomo

Ian Whyte

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ian Whyte
Amezaliwa 17 Septemba 1971 (1971-09-17) (umri 52)
Bangor, Welisi ya Kaskazini, Uingereza

Ian Whyte (amezaliwa tar. 17 Septemba 1971) ni mwigizaji wa filamu na mtu wa stanti kutoka nchi Welisi. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Predator (amempokea hayati Kevin Peter Hall) katika filamu zote mbili za Alien vs. Predator na Aliens vs. Predator: Requiem.

Anasimama katika urefu wa futi 7'1".

Filamu alizocheza[hariri | hariri chanzo]

  • Alien vs. Predator (2004): Scar
  • Aliens vs. Predator: Requiem (2007): Wolf
  • Disaster Movie (2008): Hellboy
  • Solomon Kane (2008): The Reaper

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ian Whyte kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.