Nenda kwa yaliyomo

I'm Already There

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
I'm Already There
I'm Already There Cover
Studio album ya Lonestar
Imetolewa Juni 19, 2001 (2001-06-19)
Aina Country
Urefu 45:40
Lebo BNA
Mtayarishaji Dann Huff
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Lonestar
This Christmas Time
(2000)
I'm Already There
(2001)
From There to Here: Greatest Hits
(2003)


I'm Already There ni albamu ya tano kutolewa na kundi kutoka nchini Marekani linaloimba muziki wa country - liitwalo Lonestar. Albamu hii ilitoka mwaka 2001 kupitia studio ya BNA Records. Albamu hii iliweza kuuza nakala milioni kadhaa ikiwa na single yenye jina sawa na albamu hii, wimbo wa "I'm Already There" uliweza kukaa katika nafasi ya kwanza kwa nyimbo zenye asili ya country. Wimbo wa "Not a Day Goes By" ulishika nafasi ya 3, wimbo wa "With Me" ukiwa katika nafasi #10 na wimbo wa "Unusually Unusual" ukiwa katika nafasi (#12).

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Out Go the Lights" (Brett Beavers, Steve Bogard, Richie McDonald) – 3:56
  2. "Unusually Unusual" (Mark McGuinn) – 3:36
  3. "Not a Day Goes By" (Maribeth Derry, Steve Diamond) – 4:08
  4. "I Want to Be the One" (Chuck Cannon, Gary Nicholson, Lari White) – 3:56
  5. "With Me" (Brett James, Troy Verges) – 3:53
  6. "Without You" (Anthony Smith, Bobby Terry) – 4:13
  7. "I'm Already There" (Gary Baker, Frank J. Myers, McDonald) – 4:13
  8. "Let's Bring It Back" (Annie Roboff, Jeffrey Steele) – 3:09
  9. "Must Be Love" (Greg Barnhill, Jon McElroy) – 3:14
  10. "Softly" (Holly Lamar, Roboff) – 4:06
  11. "Every Little Thing She Does" (Al Anderson, Bob DiPiero, Steele) – 3:13
  12. "Like a Good Cowboy" (Barnhill, Lamar) – 3:55
  13. "No Greater Love" (Cannon, Stephen Allen Davis) – 3:40A

ABonus track, available only on Australian releases of album.

Wafanyakazi

[hariri | hariri chanzo]

Waimbaji Waloongezwa

[hariri | hariri chanzo]

Viunga vya Nje

[hariri | hariri chanzo]