Huawei Mate
Mandhari
Huawei Mate inayojulikana pia kama Huawei Ascend Mate, ni mfululizo wa simu mahiri za phablet za hali ya juu zinazozalishwa na Huawei. Simu hizi zinaendeshwa na mfumo wa HarmonyOS (hapo awali zikitumia Android kabla ya vikwazo vya kibiashara)[1][2].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Huawei finally has a phone worthy of the Leica brand", Engadget.
- ↑ Matsui, Emiko (2 Julai 2022). "XMAGE: New Huawei mobile camera image technology". HC Newsroom. Iliwekwa mnamo 10 Februari 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |