Nenda kwa yaliyomo

Hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzibar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzibar
Hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzibar

Hospitali ya Mnazi Mmoja ni hospitali kuu ya rufaa ya Zanzibar. Hospitali hiyo inafanya pia kazi kama hospitali ya kufundishia kwa kada hadi kiwango cha stashahada kutoka Chuo cha Sayansi ya Afya na wanafunzi wa shahada ya kwanza kutoka taasisi tofauti. Zaidi ya wanafunzi 500 kila mwaka hupatiwa mafunzo ya vitendo na usimamizi.[1]

Iko katika Mji Mkongwe[2][3].

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Hospitali hiyo ilijengwa na kuanza kutoa huduma za afya kabla ya mwaka 1923.

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-09. Iliwekwa mnamo 2021-05-09.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-09. Iliwekwa mnamo 2021-05-09.
  3. https://www.volunteerintanzania.com/mnazi-mmoja-referral-hospital/#:~:text=Mnazi%20Mmoja%20was%20built%20and,Stone%20Town%2C%20has%20430%20beds Ilihifadhiwa 9 Mei 2021 kwenye Wayback Machine..
Makala hii kuhusu majengo ya kihistoria Zanzibar bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzibar kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.