Hospitali ya Benjamin Mkapa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hospitali ya Benjamin Mkapa, ni hospitali ya umma iliyoko Dodoma, mji mkuu wa Tanzania. Inapatikana katika Majira nukta 6°13′47″S 35°50′51″E / 6.229805°S 35.847491°E / -6.229805; 35.847491

Ilikuwa hospitali ya pili nchini kufanya upandikizaji wa figo[1] lakini ya kwanza kufanya hivyo na wafanyikazi wote wa Kitanzania mnamo 2018.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. LUDOVICK KAZOKA recently in Kiteto (2020-03-02). "BMH ’s mobile medical outreach service brings hope to rural communities". www.dailynews.co.tz (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-26. Iliwekwa mnamo 2022-03-16.