Honoka Hayashi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hanoka Hayashi

Honoka Hayashi (alizaliwa 19 Mei 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa timu ya taifa ya Japani pamoja na klabu ya Wanawake ya West Ham United inayoshiriki ligi ya Super League.[1]

Tangu mwaka 2019, Honoka aliwakilisha timu ya Japan katika Kombe la Dunia la FIFA 2023 na Olimpiki mwaka 2020.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "HAYASHI HONOKA". AFC. 
  2. "Japan Football". Japan Football Association. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Honoka Hayashi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.