Nenda kwa yaliyomo

Honeywell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Honeywell.

Honeywell International Inc ni kampuni ya kimataifa ambayo inatengeneza aina mbalimbali za bidhaa za kibiashara na za akiba, huduma za uhandisi na mifumo ya vifaa vya anga kwa wateja mbalimbali, kutoka kwa watumiaji binafsi kwenda kwenye mashirika makubwa na serikali.

Kampuni hiyo inaendesha vitengo vinne vya biashara, inayojulikana kama Strategic Business Units , Teknolojia za Nyumbani na Ujenzi (HBT), Suluhu za Usalama na Uzalishaji (SPS), na vifaa vya utendaji kazi vya Honeywell.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Honeywell kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.