Homa ya hemoreji ya Brazil

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Homa ya hemoreji ya Brazil ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vya Sabiá na isnavirus.

Virusi vya Sabiá ni kati ya virusi kutoka Amerika ya Kusini, navyo husababisha ugonjwa wa homa ya hemoreji.

Homa hiyo imeenea hasa katika bara la Amerika ya Kusini katika nchi ya Brazil.

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Homa ya hemoreji ya Brazil kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.