Nenda kwa yaliyomo

Hofheim am Taunus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya mji
Hofheim am Taunus
Nchi Ujerumani
Jimbo Hesse
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 38.304
Tovuti:  www.hofheim-am-taunus.de

Hofheim am Taunus ni mji wa Hesse nchini Ujerumani. Idadi ya wakazi wake ni takriban 38.304. Umbali na Jiji la Frankfurt am Main ni km 15.

Hofheim kuna kituo cha reli ya Main-Lahn-Bahn, kinahudumia na treni za eneo ya mistari RE20 na RB22 kutoka Frankfurt hadi Limburg na treni za mkoani Rhine/Main, mstari wa S2 (Dietzenbach - Offenbach - Niedernhausen).

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hofheim am Taunus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.