Hitomi Sekine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hitomi Sekine
Jina la kuzaliwa 9 Mei 2000 (2000-05-09) (umri 23)
Alizaliwa Tokyo
Kazi yake mwigizaji wa filamu
Miaka ya kazi 2018 -
Tovuti Rasmi Official agency profile

Hitomi Sekine(関根 瞳, Sekine Hitomi, alizaliwa 9 Mei 2000) ni mwigizaji wa sauti kutoka Meieki, Tokyo, Japani[1].

Anashirikiana na kampuni ya "I'm Enterprise Co." inayokuza waimbaji nchini Japani.

Filamu alizoigiza

Anime

2018
  • Tonari no Kyūketsuki-san - msichana
2019
  • Girly Air Force - Mtoto
  • Toaru Kagaku no Accelerator - School Girl
2020
  • Ahiru no Sora - School Girl
  • Fruits Basket - School Girl
2021
  • Cells at Work! - Platelet

Video

2018
  • THE IDOLM@STER SHINY COLORS - Mano Sakuragi[1]
  • Abyss Horizon - Portland, Avenger, na Vauquelin
2020
  • Azur Lane - Chitose
  • Monster Strike - Euryale
2021
  • THE IDOLM@STER POP LINKS - Mano Sakuragi[2]

Tanbihi

  1. 1.0 1.1 "アイムエンタープライズ公式ホームページ Talent Profile". Iliwekwa mnamo 2019-05-24. 
  2. "IDOL Introduction". THE IDOLM@STER POP LINKS. Bandai Namco Entertainment. 2020-11-08. Iliwekwa mnamo 2020-11-08. 

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hitomi Sekine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.