Nenda kwa yaliyomo

Historia ya Libya chini ya Muammar Gaddafi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bendera ya kijani ya Kiarabu ya Libya,Jamahiriya. Rangi ya kijani, ambayo iliwakilisha Uislamu na Nadharia ya tatu ya Kimataifa ya Gaddafi, ikiorodheshwa katika Kitabu cha Kijani.

Muammar Gaddafi alipata kuwa kiongozi mkuu wa Libya tarehe 1 Septemba 1969 baada ya kuongoza kundi la maofisa vijana wa jeshi la Libya dhidi ya mfalme Idris I katika mapinduzi yasiyo ya umwagaji damu. Baada ya mfalme huyo kukimbia nchi, baraza la mapinduzi (RCC) lililoongozwa na Gaddafi lilifuta utawala wa kifalme na katiba ya zamani na kuanzisha Jamhuri ya Kiarabu ya Libya, yenye kauli mbiu “uhuru, ujamaa na umoja”.[1][2]

Gaddafi katika mkutano wa umoja wa Afrika, Addis Ababa, 2 Februari 2009

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Libya: History". GlobalEDGE (via Michigan State University). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Juni 2010. Iliwekwa mnamo 14 Agosti 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Kadhafi, Mouammar; Barrada, Hamid; Kravetz, Marc; Whitaker, Mark (1984). Kadhafi : "je suis un opposant à l'échelon mondial" (kwa Kifaransa). Paris: P.-M. Favre. uk. 104.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Libya chini ya Muammar Gaddafi kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.