Hissan Muya
Mandhari
(Elekezwa kutoka Hissani Muya)
Hissan Muya | |
---|---|
Amezaliwa | Hissan Muya |
Kazi yake | Mwigizaji Mwongozaji Mtayarishaji |
Hissan Muya ni mwigizaji, mtayarishaji na mwongozaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika sana kwa uhusika wake wa "Tino" kutoka katika filamu mbalimbali. Miongoni mwa filamu alichocheza ni pamoja na: Mimi na Mungu Wangu, Mr.Nobody, Justice on a Trap, Shoga Yangu, Siri ya Kijiji na Damu Moja.[1][2]
Baadhi ya filamu alizocheza
[hariri | hariri chanzo]- Mke Mchafu
- Mdundiko
- Apple
- Mimi na Mungu Wangu
- Innocent Case
- Mr.Nobody
- Receiver
- Siri ya Kijiji
- CID - Crime Investigation Department
- Justice on a Trap
- Gongolamboto
- Jirani
- Loreen
- Chupa Nyeusi
- Nzowa
- Mens Day Out
- Shoga Yangu
- Eagle Eyes
- Cut Off
- Ayuni
- More Than Pain
- Love is War
- Damu Moja
- Tanzanite
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Hissan Muya Archived 18 Mei 2013 at the Wayback Machine. katika wavuti ya Bongo Cinema.com
- ↑ Mitazama tofauti kuhusu filamu ya Shoga Yangu ya Tino katika blogu ya Zamaradi Mketema.